Weekend iliyomalizika timu ya taifa ya
Misri ilifanikiwa kufuzu kwenda kushiriki fainali za michuano ya Kombe la dunia nchini
Urusi, kwa mara ya kwanza baada ya miaka 27,
Misri wamefuzu kucheza fainali za kombe la dunia mwakani baada ya ushindi wa dakika za majeruhi wa magoli 2-1.
 |
Kocha wa Misri Hector Cuper
|
Ushindi huo umewafanya
Misri wafuzu moja kwa moja kutokana na kufikisha jumla ya point 12 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote ile ya
Kundi E lililokuwa na timu za
Uganda, Ghana na
Congo Brazzaville licha ya kila timu kusalia na mchezo mmoja.
Comments
Post a Comment